Uaviaji mimba na uwezo wa kuzaa siku za usoni

Ni haraka gani naweza kupata uja uzito tena baada ya matibabu ya uaviaji mimba?

Unaweza kupata na uja uzito haraka hata baada ya siku 8 baada ya matibabu ya uaviaji mimba. Ikiwa utafanya ngono, unastahili kuzingatia kutumia mbinu za kupanga uzazi ili kuzuia mimba zisizotarajiwa.


References

This website may require anonymous cookies and various third party services to function properly. You can read our Terms & Conditions and Privacy Policies. By continuing to use this site you are giving us your consent to do this.