Matumizi ya tembe za kuavya mimba kinyume na maelekezo

Ni katika mazingira yapi nastahili kuepuka kumeza tembe za kuavya mimba nyumbani?

Unastahili kuepuka kutumia tembe za kuavya mimba ikiwa una uja uzito wa zaidi ya wiki 11; ikiwa unaathiriwa na mifepristone au misoprostol; una matatizo ya kina ya kiafya kama vile shida za kuganda kwa damu; au ikiwa unaamini au unajua kuwa uja uzito unakua nje ya tumbo la uzazi (uja uzito katika mrija wa uzazi)


References

This website may require anonymous cookies and various third party services to function properly. You can read our Terms & Conditions and Privacy Policies. By continuing to use this site you are giving us your consent to do this.