FAQS Zingine

Kuna tofauti gani kati ya tembe ya kuavya mimba na tembe ya asubuhi – baadaye (upangaji uzazi wa dharura)?

Tembe za upangaji uzazi wa dharura (ECPs) ni salama na njia faafu za kuzuia mimba baada ya kujamiiana bila kinga. Hufanya kazi kwa kuzuia kuachiliwa kwa ovari (kuachiliwa kwa yai) au kwa kuzuia yai na mbegu za kiume kukutana. ECPs haziwezi kutamatisha ama kuhitilafiana na mimba iliyotungwa. ECPs ni tofauti na taratibu za kiafya zilizowekwa (ambazo hujumuisha mifepristone na misoprostol). Matibabu haya yana manufaa ya pekee kwa afya ya uzazi wa wanawake kote duniani.


References

This website may require anonymous cookies and various third party services to function properly. You can read our Terms & Conditions and Privacy Policies. By continuing to use this site you are giving us your consent to do this.