FAQS Zingine

Je matibabu ya uaviaji mimba ni sawa na tembe za kuavya mimba. Je matibabu ya uaviaji mimba ni sawa na uaviaji mimba kwa upasuaji?

Kuna njia mbili zitumikazo sana katika mbinu za uaviaji mimba?
1) Matibabu ya uaviaji mimba: matibabu ya kuavya mimba hutumia madawa ya kibaolojia ili kutamatisha uja uzito. Wakati mwingine dhana “ uaviaji mimba pasi upasuaji” au uaviaji mimba kwa tembe” pia huwa zinatumika.
2) Uaviaji mimba kwa upasuaji: Katika taratibu za uaviaji mimba kwa upasuaji, mtaalamu aliyehitimu atamwaga uja uzito kutoka kwa tumbo la uzazi kupitia mlango wa uzazi ili kutamatisha uja uzito. Taratibu hizi hujumuisha ufyonzaji ombwe usiootomatiki (MVA) na upanuzi na uondoaji (D&E).


References

This website may require anonymous cookies and various third party services to function properly. You can read our Terms & Conditions and Privacy Policies. By continuing to use this site you are giving us your consent to do this.